Wakulima 5600 wamepata elimu na hamasa juu ya kilimo cha zao la alizeti mkoani Manyara kufuatia kuwepo kwa uhakika wa soko wa zao hilo linalotajwa kuwa ni mkombozi wa wakulima katika kipindi cha mvua chache.
#AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamNews
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for Wakulima zaidi ya 5000 wapata elimu ya kilimo cha alizeti Manyara: