Duration 20:37

MORNING TRUMPET: Mwanafunzi bora kidato cha sita na siri ya mafanikio yake

9 288 watched
0
91
Published 15 Jul 2019

Satrumin Shirima ni mwanafunzi aliyemaliza kidato cha sita mwaka huu na kuibuka kidedea kwa kuwa mwanafunzi bora mwaka 2019 katika mkoa wa Dar es Salaam. Pamoja na kutokea shule ya kata, Temeke Sekondari, Satrumin amefanikiwa kuipeperusha bendera kwa kufanya vizuri. Ni ipi siri ya mafanikio yake? anaeleza.

Category

Show more

Comments - 12