Duration 4:7

Papa shirandula azikwa nyumbani kwake Busia

36 617 watched
0
299
Published 20 Jul 2020

Muigizaji na mcheshi maarufu Papa Shirandula amezikwa nyumbani kwake Namisi - Bukeko katika kaunti ya Busia. Mwili wake ulisafirishwa Jumapili usiku kutoka Nairobi. Waombolezaji kutoka Nairobi walitengwa na wale wa Busia huku familia tu ikiruhusiwa karibu na kaburi.

Category

Show more

Comments - 93