Duration 6:1

Ep.02 Tambi za Sukari

186 411 watched
0
4.3 K
Published 8 Feb 2018

TAMBI ZA SUKARI NA MAZIWA Mahitaji · Tambi paketi moja kubwa ,vunja katikati · Maziwa freshi vikombe 2-au Zaidi · Sukari ½ kikombe · Mafuta ya maji ¼ Kikombe · Iliki vijiko 2 ya chai Unaweza kutumia tambi hizi kama sehem ya chakula cha usiku,mchana au hata kitafunwa cha chai Karibuni Tolly's Kitchen kujifunza mapishi ya nyumbani Tembelea www.tollyzkitchen.co.tz

Category

Show more

Comments - 150