Duration 5:27

Kopezabandiakubandikakopesimplemakeup KWA NJIA HII RAHISI KABISA UTAWEZA KUBANDIKA KOPE ZA MKANDA

4 223 watched
0
37
Published 3 Jul 2021

Hellow wapenzi ❤️ Video yetu ya leo ni fupi na inaonesha hatua kwa hatua namna ya kubandika kope za mkanda kwa kutumia vifaa unavyoweza kupata sehemu zote za urembo Karibu kutazama video na kama umeipenda video yangu usisahau kulike,comment, share na wengine pia ili wajifunze Asante kwa kutazama video yangu usisahau kubonyeza alama ya subscribe na alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila nikipost video mpya🙏🏾🙏🏾

Category

Show more

Comments - 9