Duration 2:37

Buriani Benjamin Mkapa

391 watched
0
6
Published 24 Jul 2020

Rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa amefariki dunia. Tumewauliza watanzania watamkumbuka vipi kiongozi huyo aliyekuwa rais wa tatu wa taifa hilo la Afrika Mashariki tangu mwaka 1995-2005.

Category

Show more

Comments - 0