Duration 25:26

MAMA MJAMZITO APOTEZA MAISHA KISA HELA YA TAKATAKA / AZUILIWA OFISI YA KATA KWA MASAA NANE

55 902 watched
0
470
Published 23 Jun 2020

Tukio hili limetokea maeneo ya Ukonga Mombasa jijini Dar es salaam ambapo Mama Mjamzito alizuiliwa kwa muda wa masaa nanen ndani ya ofisi za kata kisa tu alikuwa hana hela ya takataka.Kitendo hicho cha kuzuiliwa kilepelekea mama huyo kuanza kuumwa uchungu akiwa humo na badae kupelekwa hospitali akapoteza maisha. Tizama kisa hiki cha kusikitisha kisha utoe maoni yako #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Category

Show more

Comments - 485