Duration 13:38

DKT MWINYI NATOA ONYO LEO / HATUA KALI KUCHUKULIWA / KUNA WATU HAWAJABADILIKA

16 879 watched
0
120
Published 23 Jun 2021

Dk. Mwinyi amesema hayo leo katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil, Kikwajuni Jijini Zanzibar. Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego cc: Maryam Busara Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

Category

Show more

Comments - 71
  • @
    @mauali31883 years ago Waowaji wakubwa hamtoendele maisha hatukusameheni kwa kutulia ndugu zetu nyote ccm. 2
  • @
    @mwana45993 years ago Wow. Hongerah sana na asante sana mheshimiwa rais.
  • @
    @faridimohammed48233 years ago Mzee tatizo maneno mengit, hujengi bandari wala ufukwe, wala hujengi barabara manenot kilacku, hatujaona hatamradi mmoja, mazuulia yamsikitin alhamdulillah, . ...Expand 3
  • @
    @ebrahimosman54773 years ago Usiwalee waokua hawataki kibadilika wamalize tu inshaa allah.
  • @
    @faisalmohamed27463 years ago Unamfanyia kejeli kiongozi ambaye anamsujudia allah ktk msikiti.
  • @
    @jifunzemengi16203 years ago Assalaam alaykym naomba muangalie hilo tangazo haliendani na maadili yetu.
  • @
    @salamakhamis80923 years ago Jamani yote tisa kumi nihizi barakoa nikwaajili ya korona au ndio mtindo wakisasa? 1
  • @
    @mosaidi26333 years ago Waafrika ni tabu, jaribu kuwaongezea mshahara mara mbili ili uwapime ubadhirifu wao. 3
  • @
    @mrdullayo16513 years ago Hongera rais mwinyi jitahidi na majukumu yako mungu atakujaalia na sisi typo nyuma yako.
  • @
    @stonetown5783 years ago Allah akulinde mh. Raisi lkn humo makazini wafanyakazi ni majeuri sana hasa zrb.
  • @
    @mussajuma973 years ago Waonde haokwenda mbele kwenye uchumi wa kijani. 1
  • @
    @ulipoulipotupo75643 years ago Kama mageuzi ulito yafanya kuwa watu pemba na unguja tambua zambi za mu muwaji ata akitubu aina toba asa kwa kuuwa kwa makusudi.
  • @
    @royaltourspemba73013 years ago Mbona pemba rais haji aliahidi kila linalofanyika unguja na pemba lifanyike. 5
  • @
    @samirahassan32123 years ago Naww tushachoka na hadisi zako za sungura na ndizi fukuza smz imejaa majambazi ya pesa za uma.
  • @
    @samirahassan32123 years ago Mm ni ccm ila natakakukubari maneno ya wapinzani' punda ndiowalewale wanabadilisha soji tu.
  • @
    @ismailjuma36923 years ago Yaani iko hivi, maneno matam kama asali, vitendo vichungu kama shubili.
  • @
    @faisalmohamed27463 years ago Watu kuweni na subra maneno machafu hayatasaida kitu ni kukupa dhambi tu muda bado hata mtoto miezi minane ndio anatambaa hakuja majibu kuleta maendeleo inahitaji tuwe na dhana nzuri kwa kiongozi.
  • @
    @alishiyaalitaqwa52483 years ago Najeuri muheshimiwa watumishi wana jeuri sana ukifuata huduma unaweza kukata tamaa kwa maneno yao machafu wanayo tujibu na zarau. 1
  • @
    @DrBasinda83 years ago Raisi anajitahid ila watu alowachagua kufanya nao kazi ndio wanamuangusha. Sio wawajibikaji wala waadilifu mabadiliko hayawez kuletwa na mtu mmoja.
  • @
    @user-go3bk6wr8u3 years ago Hana ishu wewe rahisi kama sheni ila wewe umejaliwa domo lako nyumba ya maneno tu. 2
  • @
    @king-uw8ju3 years ago Hukuchaguliwa na wazanzibari umechaguliwa na zec. 2
  • @
    @muudathirsadru8213 years ago Ningemuimba mh rais aregeze kdg hali imekuwa ngumu sana zanzibar vitu vinapanda bei kila kukicha blue economic it kills us.
  • @
    @patimabilali78203 years ago Ngom imezid kuwa ngumu wanawake kma midume wanavyohaswa kazi tena za matofali n vibaruwa atar sox union fek.
  • @
    @kreamagdfsa16973 years ago Ukiona mtu haeleweki fukuza kazi maana hizo ni dharau kwa sababu wanajua majukumu yao pia wao sio watoto kama kila leo wapewe onyo inachosha kwa kweli. 1
  • @
    @jituakilimali153 years ago Ndugu raisi punguza ukubwa wa baraza la mawaziri huitaji mawaziri katika za raisi wala makamo wa raisi huko ni kutumia pesa zetu bila ya muhimu wabaki waziri kila wizara.
  • @
    @dinnahw3 years ago Rais wetu. Hebu fanya uende hospital ya mnazimoja kwa wazazi hasa kisha uje twambia yaendayo. Pia watoto wa skuli ikiwa hawajui kusoma kiswahili wataendeleaje . ...Expand
  • @
    @gangmore90913 years ago Mwizi hawezi kumlinda mwezake dhulma hailetii maendeleo munafanya dhulma kutoa roho z watu mutegeme kufanya maendeleo nyinyi bila kufanya haki kuingia . ...Expand
  • @
    @fathiyasalim39463 years ago Tatizo walio wengi hawajakuchagua kwa kura nyingi. Ni mapinduzi tu ndio yalokuweka. Mwinyi kuwa mkweli huoni taabu kusema umechaguliwa? 6
  • @
    @salumnassor65553 years ago Hawabadiliki hao mh raisi mazali hakuna hata mmoja waliochukuliwa hatua ya ubadhirifu wa mali ya umma na wewe umesema hufukuwi makaburu, kwa iyo hawaogopi . ...Expand
  • @
    @rashidally11493 years ago Naona unawafuga tu hao mafisadi kila siku utachukua hatua sahv miezi 8 sijui hio hatua itachukuliwa lini wanafunzi wanakosa mikopo na wanaopata mkopo hela . ...Expand 1