Duration 7:11

JIONEE STESHENI YA TRENI YA KISASA ILIYOPO MOROGORO

82 596 watched
0
666
Published 14 Mar 2021

Stesheni ya Reli ya Kisasa (SGR) Morogoro imekamilika kwa asilimia 98 na itakuwa na uwezo kuhudumua zaidi ya watu 400 kwa wakati mmoja, migahawa minne na ina uwezo wa kuegesha magari180 madogo, mabasi 6 na malori matano.

Category

Show more

Comments - 195