Duration 26:50

EXCLUSIVE ABDUL NONDO AELEZA UKWELI/KUTEKWA/MAANDAMANO YA MANGE KIMAMBI..

20 374 watched
0
100
Published 20 Jun 2021

MwanaHALISI TV imezungumza na Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo, Abdul Nondo kuhusu safari yake ya uanaharakati ikiwemo magumu anayopitia katika kutetea haki za watu mbalimbali nchini akiwa kama mwanaharakati kijana. Hii ni 'Mtu Kati' ya MwanaHALISI TV, , utafahamu mengi usiyoyajua kumhusu. 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Category

Show more

Comments - 68