Ameigiza filamu nyingi na amekuwa msaada mkubwa kwa wasanii wengi wakiwamo Deepika Padukone na Shilpa Shetty. Mnamo mwaka 2008 Jarida la Newsweek lilimtaja kama mtu wa tano mwenye nguvu duniani. Mnamo mwaka 2011 alitunukiwa tuzo na Shirika la Umoja wa Mataifa UNESCO kwa kuunga mkono elimu kwa watoto
#Shahrukhkhan #historiayashahrukhkhan #shahrukhkhanbiography #bollywood
@Wasafi_Media @SimuliziNaSauti @Netflix
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Historia Ya Mfalme wa Mapenzi India Shah rukh khan.: