@mohamedibrahimu91393 years agoBig up kwa simba yetu kuwa na uongozi wenye vision kubwa kwa maslahi ya club yetu ili kuifikisha team katika muonekano mzuri wa maendeleo ili tutofautiana na viteam vidogo kama utopolo. 7
@
@barakajohnh.b96973 years agoMungu akulinde sikuzote za maisha yako. 2
@
@rashadyabdalla27343 years agoAcha zko ww edward peter ata nyie utopolo kusikia tu simba wanatka kujenga uwanja na nyie mabosi wenu washaanza hashuo eti na ss tutajenga uwanja mna hela nyie, simba nguvu moja tuuu. 6
@
@yusufmohamed88743 years agoTupo tayari kuchangia timu yetu ya simba sport club. 2
@
@glorykapenja94733 years agoWatu elf 30 ni wadogo sana angalieni hilo.
@
@husseinchiaseeds26533 years agoHuyu ndiye kiongozi wa mpira sio yule mzungu toleo la 7.
@
@mariamemadoshi55403 years agoSimnasema mnapesa mbona mnatembeza mabakuli pumbavu kabisa.
@
@daimavlog3 years agoNjooni tuungane youtube kuna vitu vingi vizuri ntakuleteeni.
@
@morandraymond86023 years agoMo alisema mkinipa team nitajenga uwanja sasa hii michango inatoka wapi tena au wanachama wa simba hawajitambuwi yani ukiwa na pesa alafu unawo waongoza. ...Expand
@
@kaundasutikaunda77693 years agoUtopolo mnakuja kuleta umbea kwenye habari za watu. Mbuzi nyie. 4
@
@samwelyesaya12023 years agoTunawaomba viongozi kuangalia mbali zaidi tujenge uwanja mkubwa unaoendana na idadi kubwa ya mashabiki wa. Simba ujengwe uwanja unaoweza kuingiza watazamaji elfu sitini 600. 2
@
@leilaadamu48173 years agoTunupiga mwingi sn tueende kuwa na moyo huu wakuchangia maendeleo ya timu yetu. 1
@
@innocentjoram41543 years agoCeo acha kudanganya hatujaona tarifa ya madakitari wewe unatudanganya mwisho wa cku tutajua tyuuu.
@
@mkubwajtz62493 years agoBasi walipe mishahala waache kusingizia mafua maana tunajua kuhusu uwanja ni ngumu. 1
@
@esterkomba40723 years agoWewe walipe mishahara uliambiwa wanadai fara ww. 1
@
@hamzahassan20793 years agoUmeenda kuomba msaada kwanduguzako. Ulewako useme sisi ni masikini mmbwa wewe. Simba sio walemavu. Mtoto wakiindi. 1
@
@morandraymond86023 years agoMo alisema mkinipa team nitajenga uwanja sasa hii michango inatoka wapi tena au wanachama wa simba hawajitambuwi yani ukiwa na pesa alafu unawo waongoza. ...Expand
@
@morandraymond86023 years agoMo alisema mkinipa team nitajenga uwanja sasa hii michango inatoka wapi tena au wanachama wa simba hawajitambuwi yani ukiwa na pesa alafu unawo waongoza. ...Expand
Related videos for CEO BARBARA Ataja MAMILIONI YALIYOCHANGWA MPAKA SASA kwa AJILI ya UWANJA, Afunguka AFYA za WACHEZAJI:
kwanduguzako. Ulewako useme sisi ni masikini mmbwa wewe. Simba sio walemavu. Mtoto wakiindi. 1