Duration 12:25

Mafuta ya kuondoa chunusi usoni na kufanya ngozi kuwa laini , Mazuri kwa nywele (whipped sheabutter )

8 423 watched
0
93
Published 31 Oct 2019

Za leo wapenzi!!! Kwenye hii video nimetengeneza mafuta mchanganyiko kutumia sheabutter na mafuta mengine yenye virutubisho vingi sana na kufanya ngozi kuwa laini na Nyororo Na siyo lazima uchanganye mafuta kama niliyotumia mimi unaweza kuweka mafuta yoyote yale ambayo utapenda😀 Hapo chini nimeweka video nyingine nzuri za mafuta Mazuri

Category

Show more

Comments - 55