Duration 5:1

WAZIRI NAPE AWA MKALI KWA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI , ATOA SIKU SABA SITAHIKI ZILIPWE

281 watched
0
3
Published 12 Jan 2022

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe. Nape Nauye ametoa muda wa siku saba kwa wamiliki wa vyombo vya habari kuwalipa sitahiki zao familia za marehemu waliokuwa wakifanya kazi kwenye vyombo vyao waandishi wa habari waliokuwa wankifanya kazi katika vyombo vyao. Waziri Nape ametoa kauli hiyo kwenye viwanja vya nyamagana katika ibaada maalumu ya kuwaombea na kuwaaga waandishi watano wa Mwanza waliopoteza maisha jana huko katika Mkoa wa Simiyu wakati wakiwa kwenye ziara ya Mkuu wa Mkoa wa mwanza. #NyamaganaMwanza.

Category

Show more

Comments - 0