Duration 6:1

MWIKO (sehemu ya 1) | SIMULIZI KWA SAUTI NA ADAM LEO

1 220 watched
0
18
Published 6 Jun 2021

Mwiko ni simulizi ya sauti inayoelezea umuhimu wa vijana wa kisasa kuzingatia tamaduni na miiko iliyopo kwenye jamii zao. Katika sehemu ya kwanza Sadiki anaelezea jinsi alivyoamka usiku wa manane na kukuta mdogo wake Sadala amepotea katika mazingira ya kutatanisha.... Endelea! . Mtunzi | Msimulizi ADAM LEO Usiache ku Subscribe channel yetu ili usipitwe, Asante...!

Category

Show more

Comments - 21