Duration 11:34

Duuh WAZIRI wa SAMIA atofautiana msimamo na Hayati Magufuli mradi Bandari ya Bagamoyo.

3 681 watched
0
15
Published 20 Nov 2021

Karibu Gilly Bonny Online Tv Channel ambayo imesajiliwa TCRA kwa ajili ya kukuletea habari kubwa za kisiasa, kijamii, kiuchumi na matukio yote muhimu yanazojiri Tanzania na nje ya Nchi kwa wakati sahihi kila siku: Kama bado huja-Subscribe tafadhali hakikisha unafanya hivyo muda huu kisha bofya kengele ya Notification ili kuwa wa kwanza kupata taarifa na habari zote tunazoziweka kila wakati. Ku-Subscribe bofya hapa-/channel/UCyWN8UUznvkIsK7Kz-fIOYA Instagram tunapatikana @https://www.instagram.com/gillybonny_gilbert/ Facebook page tunapatikana @ Gilly Bonny Online Tv Wasiliana nasi kwa email -gillybonny1991@gmail.com unaweza pia kutuma habari yako kwa email- gillybonny1991@gmail.com Karibu sana Gilly Bonny Online Tv

Category

Show more

Comments - 36
  • @
    @issakwisamwasanjobe5413 years ago Tumeanza kupigika tena mungu akulinde peponi bandari ya dar mashakani.
  • @
    @wadeelegbogun30153 years ago R. I. P mzee wetu jpm tutaendelea kumkumbuka daima mafisadi yameludi.
  • @
    @Ali-nl2du3 years ago Tutoe maoni based on facts. Mkataba uwekwe hadharani. Hapo ndipo tutapojua ukweli.
  • @
    @floranyambominja57973 years ago Hizo pesa zingetumika kuboresha bandari zilizopo haswa ya dar iweze kupokea meli nyingi na kubwa. Bandari ya dar pekee inauwezo wa kuendesha nchi.
  • @
    @johnmjata26753 years ago Kama jpm amekufa kwasababu ya kuwatete was tz nasisi the na msimamo kama jpm.
  • @
    @zuberikupaza11843 years ago Huyu waziri alishawahi tukanwa na magufuli kwa kutaka kuwauzia wachina ardhi kule morogoro!
  • @
    @johnmalembo64643 years ago Wachina
    kwani hii ni nchi yao.
    msiuze bandari na fukwe zetu kwa maslahi yenu binafsi. Kama wananchi hatutaki nini. Ili iweje. Mwenye akili nyerere alisubiri hadi wananchi wawe na elimu ya kutosha.
    ee mwenyezi mungu tubariki na kutuokoa watoto wa tz
    .
    ...Expand
  • @
    @wadeelegbogun30153 years ago Jpm alisema ukweli hao wengine wanawatapeli kabisa.
  • @
    @wadeelegbogun30153 years ago Yaani mlio kubali ni vichaa na mafisadi. Tena matahiila wa kutupwa.
  • @
    @saynabmohammed62633 years ago Huyo mama anajua hakika km ataingia mkenge kujenga bandar ya bagamoyo lkn anataka kumsitir kikwete kachukuwe pesa kala za waliotakiwa kulipwa watu hakuwapa . ...Expand
  • @
    @wadeelegbogun30153 years ago Na sisi tutaeaonyesha mkataba jpm alio ukataa.
  • @
    @wadeelegbogun30153 years ago Onyesha mkataba wewe waziri hewa fisadi, onyesha mkataba wazi watanzania waone.
  • @
    @sk-wj9or3 years ago Watanzania tunahitaji referendum kuhusu mradi huu wa bagamoyo.
    raisi mama samia tionee huruma vizazi vyetu vitakuja kukuombea mabaya nasi kutulaani. kesho aghera tutaadhibiwa timuogope mungu jamanii.
    tanzanians workup.
    hawawezi kutuua wote.
    bora tufe masikini huru kuliko kua tajiri tumwa
    .
    ...Expand
  • @
    @sabasjacob90383 years ago Raisi wetu bado ni ayat jpm magufuri shujaa wetu awezi kufutika kwenye mioyo yetu leo ata kesho.
  • @
    @wadeelegbogun30153 years ago Yaani wewe waziri hovyo kabisa anyway mafisadi mlio kula pesa. Hamuwezi kumchafua jpm. Imekula kwenu mafisadi wa kutupwa.
  • @
    @wadeelegbogun30153 years ago Tena mjue watanzania wanawasubilia kujua rais wetu jpm alikufaje ee? Acheni kuiuza tanzania yetu.
  • @
    @radhiaissa713 years ago Chezea jpm wewe, achana na like kichwa, mkataba siupo na klip za mkatabauo so upo, aliekuwamkuu wa bandar so yupo, kama wamekubali kutuuza watuuze tu.
  • @
    @sabasjacob90383 years ago We waziri unapepo na wewe waziri akili zako ni zero 0 distance magufuri ndo jemembe la african.
  • @
    @wadeelegbogun30153 years ago Yaani wewe waziri mwambe hufai tena ni mnafiki wa kutupwa, yaani wewe ni fisadi wa kutupwa, huwezi kumtukana rais wetu jpm, yaani mwambe umetuchokonoa tutakukomesha hufai kuwa waziri.
  • @
    @janiaoma70933 years ago Serekali ya awamu ya 6 inatia mashaka. Inawalakini fulani wakati magufuli ana sema samia alikuwa makamo wa rais sasa yeye rais anageuza kibao hapa kuna kitu chini ya meza.
  • @
    @johnmalembo64643 years ago Wachina
    kwani hii ni nchi yao.
    msiuze bandari na fukwe zetu kwa maslahi yenu binafsi. Kama wananchi hatutaki nini. Ili iweje. Mwenye akili nyerere alisubiri hadi wananchi wawe na elimu ya kutosha.
    ee mwenyezi mungu tubariki na kutuokoa watoto wa tz
    .
    ...Expand
  • @
    @saynabmohammed62633 years ago Huyo mama anajua hakika km ataingia mkenge kujenga bandar ya bagamoyo lkn anataka kumsitir kikwete kachukuwe pesa kala za waliotakiwa kulipwa watu hakuwapa . ...Expand
  • @
    @sk-wj9or3 years ago Watanzania tunahitaji referendum kuhusu mradi huu wa bagamoyo.
    raisi mama samia tionee huruma vizazi vyetu vitakuja kukuombea mabaya nasi kutulaani. kesho aghera tutaadhibiwa timuogope mungu jamanii.
    tanzanians workup.
    hawawezi kutuua wote.
    bora tufe masikini huru kuliko kua tajiri tumwa
    .
    ...Expand