Kutoka Bungeni Dododma leo May 25 Dkt. Bashiru Ally amesimama bungeni na kuchangia kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Mbunge na Rais SAMIA SULUHU HASSANambapo ameliombal Bunge kuweka historia kwa kuibadilisha sekta ya kilimo kwa kuwa na ajenda itakayosukuma mbele sekta ya kilimo nchini kama ilivyofanya kwa upande wa madini na miundombinu ili kuifanya shughuli hiyo kuwa yenye tija.
Category
Show more
Comments - 291
Related videos for DKT. BASHIRU KWA MARA YA KWANZA BUNGENI ATEMA CHECHE, WABUNGE WASHANGILIA: