Duration 5:12

Yaliyojiri Ngao ya Jamii Yanga 3 - 0 AzamFC

430 334 watched
0
877
Published 16 Sep 2014

JAJA kinara wa mchezo!!

Category

Show more

Comments - 32
  • @
    @felixmagulu61423 years ago Hii yanga ilikuwa moto sana, mdogomdogo wananchi tuwe na subira tutarudi katika ubora. 2
  • @
    @damianmakala29134 years ago Jaja! Till now namkumbuka sana huyo straika sijui kitu gani kilimsibu ndani ya soka la bongo sijui misumari dah sijui nini! Ila jamaa alikuwa anajua id="hidden2" aise goli la pili lilikuwa ni uthibitisho tosha kuwa jamaa ni fundi wa kutupia kambani!. ...Expand 1
  • @
    @sniperboy70984 years ago Hao ndo walikuwa wabrazil so wasimba ni wauza mitumba. 2
  • @
    @sinzasoundbandtanzania620010 years ago Match: young africans fc vs azam fc in a community shield cup 2014 game. Results: young africans (yanga) 3: azam fc- 0. Scorers: gielson dos santos santana " jaja 2 and simon msuva 1. 7
  • @
    @seurisilanga19974 years ago Hawa ndio wabrazil wanaojua mpira xio wale.
  • @
    @mnyopi8 years ago Nawezaje kupata ile historia ya fc barcelona na real madrid inayosomwa na charles hilary naomba ata kwa whatsapp 0762161655. Mliionyesha ata kabla ya mechi ya barcelona aliyoshinda goli 6 suarez akafunga 4 penati 2.
  • @
    @WagulimbaOGonline4 years ago Hawa ndo walikuwa wabrazili sasa sio wale mikia. 1