Kila mtu anandoto ya kupata MAFANIKIO kupitia kitu anachokifanya.
Hata sisi Wafugaji wa kuku tunatamani kufikia mafanikio katika maisha kupitia ufugaji wa kuku.
Lakini yapo mambo ambayo yanatufanya tusifikie mafanikio tunayotamani.
mambo hayo ni kama ya fatayo.
1. Kupoteza Muda Kuanza biashara kwa kusubiri kitu fulani
2. Kuwa na Visingizio
3. Kujilinganisha na wengine
4. Kufikiria hasara kulilo faida
5. Woga
6. Kulalamika
@ihucha4 years agoKama umeikubali video hii gonga like . 11
@
@alhudayachannel61974 years agoShkran sana kiongozi. umetufumbua macho mungu azid kukubariki. 1
@
@lucasstony16974 years agoNataka kutuma ela ili niungwe kwenye group but nashndwa kujua n number ipi n sahh? Please help me. 2
@
@ihucha4 years agoVideo bora ya kutia hamasa kwa mwaka 2020. 1
@
@furahamuywanga24273 years agoBanda kama hilo linalotoa mayai nje, kama kuku anataka kulalia, utamjuaje?
@
@kalmelthamnyagala12982 years agoSwali kuku was kienyeji choo chao wanachotoa kawaida kinatakiwa kiwe na ranging gani? Na km kinakuwa na rangi nyeupe na kijani huo ni ugonjwa niwape dawa gani?
@
@wonderkid_tz4 years agoNaomba kuuliza kifaranga anatolewa kwnye brooder akiwa na umri gan. 1
@
@paulmganga58804 years agoNimependa sana kufuatilia hii elimu ya ufugaji lakini mpaka sasa changamoto niliyo nayo ni vifaranga vinapo fikia umri wa mwezi na nusu huanza kushusha mabawa na kufa je nitumie chanjo ipi. 1
@
@robertmagige68004 years agoNaomba kijua taratibu za kuunganishwa na group la whasap.
@
@angelasudi7104 years agoBarred rock breed. Give me your number again please! 2
Related videos for MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE:
umetufumbua macho mungu azid kukubariki. 1