Duration 3:53

MKURUGENZI WA JINSIA AKIELEZA SERIKALI INACHOKIFANYA KUTOKOMEZA UKATILI

136 watched
0
2
Published 21 Dec 2021

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya akielezea jitihada zinazofanywa na Serikali katika kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto nchini, akiwa kwenye kongamano la kupinga ukatili Kwa wanawake na watoto Mkoani Kigoma

Category

Show more

Comments - 0