Duration 7:16

Mt.Cecilia Mburahati.. Wimbo:Nimtume nani

4 389 watched
0
27
Published 26 Jan 2019

Huu ni wimbo maalum kwa ajili ya wito... Huu wimbo ulitungwa na kuimbwa maalum kwa ajili ya Fr. Antipas Fundisha Kimario aliyepata daraja la upadre tarehe 27/12/2018 Parokia ya Kristu Mfalme Moshi "usikose video rasmi ya audio hii na nyimbo zingine kwenye album yetu mpya inayokuja soon"

Category

Show more

Comments - 6