Duration 3:21

THE LIGHTBEARERS TANZANIA-NIIMBE OFFICIAL VIDEO

168 388 watched
0
801
Published 13 Nov 2020

Mwandishi:F.E.Belden Mtunzi:F.E.Belden 1. Niimbe (niimbe) pendo lake, Pendo la (pendo la) Yesu Bwana; Sababu (sababu) alitika Kwa Baba akafa. Niimbe (niimbe) pendo lake; Sifa kuu (sifa kuu) nitatoa; Akafa (akafa) niwe hai, -- Niimbe pendo lake. 2. Machozi (machozi) alitoa Ijapo (ijapo) sijalia; Maombi (maombi) yangu bado, Aniombeapo. 3. Upendo (upendo) kubwa huo! Dunia (dunia) haijui Samaha (samaha) kwa makosa Kubwa kama yangu. 4. Hapana (hapana) tendo jema Ambalo (ambalo) nilitenda, Nataka (nataka) toka leo Nimwonyeshe pendo.

Category

Show more

Comments - 83