Duration 28:47

MREMBO wa Burundi Anayekipiga SIMBA QUEENS, Ataja Mwanaume Anayemtaka

851 957 watched
0
3.9 K
Published 25 Mar 2020

MREMBO wa Burundi Anayekipiga SIMBA QUEENS Ataja Mwanaume Anayemuhitaji Mchezaji raia Burundi ambaye anakipiga katika klabu ya Simba Queens, Mariam Bukulu amefanya mahojiano na Global TV na kufunguka mambo mengi ikiwemo Mwanaume ambaye anamuhitaji endapo ataingia katika ndoa huku akieleza athari za wachezaji kukaa mapumziko ya siku 30 kutokana na maambukizi ya Ugonjwa wa Corona. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 852