Duration 23:16

Shuhudia Live Rais Magufuli Alivyompokea Rais wa Misri, Mizinga Ilivyopigwa

361 645 watched
0
805
Published 14 Aug 2017

Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais John Pombe Magufuli kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Amewasili kwa ndege maalum ya serikali ya Misri na kupokelewa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Category

Show more

Comments - 109
  • @
    @bashirumkono2087 years ago Hakuna linalofanyika bila faida na hasara hongera mweshimiwa rais. 2
  • @
    @phaustaemma33277 years ago Mapovu yanawatoka hamchangii hata mia nzuri makamandaa. 1
  • @
    @deadcrush3 years ago Picha- sifuri. Sauti- sifuri. Ilikuwa siku nzuri na maalumu kwa taifa.
  • @
    @haulefrancis28625 years ago Samahani misri imepata huru 1922 au 1952.
  • @
    @rashidmoche87097 years ago Karibu rais wa nchi yenye nguvu kijeshi africa, middle east na arab league baada ya uturuki. 3
  • @
    @dibodiboo19047 years ago Ache ujuha huyo anae tangaza misiri haina wakazi milion 9 ina wakazi milion 90 ni nchi ya pili yanye wakazi wengi barani africa bada ya naigeria yenye watu milio 140 na.
  • @
    @scayzuu96097 years ago Kweli binadamu hatuna shukurani yote anayofanya rais wetu unayabeza ilawetu chapa kazi, kwani toka u. Eingia madarakani hujaenda kuomba misaada wao wanakuja wenyewe. 6
  • @
    @suleimanmohammed53447 years ago Mtangazaji anasema kwa mujibu wa takwimu ya sensa ya 2015 misri ina watu milion 9. Ni tisa au tisiini? 9 au 90? 2
  • @
    @mrsdully16137 years ago Huyo ni mkuu wajeshi la misri sio raisi wao walomchagua 2015 muhammad mursi washamuweka jela kwakua yy ni raisi asopenda rushwa n. K akataka awekwe ya hilo liabdulfataha ndo alofanya mpaka misri watu kuuana mpaka dkk hii watu wapo taabani sijui kafatann tanzania muwe makini asijeanzisha mauaji nahuko jmn from+968. ...Expand 5
  • @
    @edwardjoseph52977 years ago Wakati niko shule ya msingi nilifundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru africa ni ghana na ilipata uhuru mwaka 1957/8.
    hiyo mistri 1952 id="hidden4" duuh.
    au mwalimu wangu na vitabu vya kipindi hicho ni bomu
    . ...Expand 2
  • @
    @halimambwego82877 years ago Ahsante global tv online kwa habari hii.
  • @
    @naftalichacha53937 years ago That is wastage of resources. Kwan angepokelewa bila hayo marisas kungetokea shida.
  • @
    @suleimanali99397 years ago Maisha mtachezeshwa ngoma kwa ujinga wenu. 1
  • @
    @danieledaniel54917 years ago Matumizi mabaya ya mizinga! Kwani huyo rais kaifanyia nini tanzania? 4
  • @
    @user-lt2tc2ry4t7 years ago Rajum huyu hata akiwa na pesa sisi tutazisikia tu katika t v matarumbeta oyeee. 2
  • @
    @michaelkaruna52397 years ago Hamtaki kufanya nazi ndio maana mnayaona maisha magun magufur yuko saf. 2
  • @
    @badboy25777 years ago Huyu hana hata pesa ameiletea niniheshima kubwa wakati yeye ni rais mwanajeshi ambaye nchini kwake kumeshuhudiwa visa tofauti vya uongozikumfundisha nini magufuli? 2
  • @
    @herinmtaita93497 years ago Pamoja mze wenye kutaka maendeleo wote lazma watakufuat tu big up raic wetu.
  • @
    @mahonakatani51817 years ago Kikubwa mtuboreshee mazingira yanahaituhusu sisi.
  • @
    @ramadhanndemeye69327 years ago Watanzania tume kuwa kila kitu ni kupinga na hiyo ni dalili ya ushamba. 3
  • @
    @lazarohamisi52027 years ago Asente kwa kuja president wa misri. Huo ndo utamaduni wetu. 1
  • @
    @shukranikakati88877 years ago Unajuwa wat mnazodoa sidhan mkipewa uongoz ata wek kamamtafikisha.
  • @
    @ramadhanndemeye69327 years ago Bahati mbaya siku hizi kila mtu ana sim ana weza kusema utumbo wake wengine hawana hata uwezo wa kufikiri na hiyo ndio shida.
  • @
    @donaldmwangasa8527 years ago Mtangazaji umekosea bhana, by 2016 tu cairo peke yake ilkuwa na 12 ml people so population ya egypt ni 90 million na si 9 million kama ulivyopotosha. 2
  • @
    @dibodiboo19047 years ago Misiri ndio nchi ya kwanza 1 barani africa kwa nguvu ya kijesh na duniani ni ya kumi na nne 14.
  • @
    @sazafsuma75427 years ago Sisi mizinga wala hatuna mpango nayo sema tu viongozi wetu kupenda sofa zakijinga. 5
  • @
    @jumadea12517 years ago Ameleta hela nini? Mbona kapewa heshimu kubwa sana.
  • @
    @dibodiboo19047 years ago Huyu rais wa misiri abdul fatah cc ni dikteta amependuwa srekali ya mohamed mursi ilio chaguliwa kwa halali na wananchi wa misiri na ailifanikiwa kumpenduwa . ...Expand
  • @
    @mrsdully16137 years ago Huyo ni mkuu wajeshi la misri sio raisi wao walomchagua 2015 muhammad mursi washamuweka jela kwakua yy ni raisi asopenda rushwa n. K akataka awekwe ya hilo liabdulfataha ndo alofanya mpaka misri watu kuuana mpaka dkk hii watu wapo taabani sijui kafatann tanzania muwe makini asijeanzisha mauaji nahuko jmn from+968. ...Expand 5
  • @
    @edwardjoseph52977 years ago Wakati niko shule ya msingi nilifundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru africa ni ghana na ilipata uhuru mwaka 1957/8.
    hiyo mistri 1952 id="hidden10" duuh.
    au mwalimu wangu na vitabu vya kipindi hicho ni bomu
    . ...Expand 2
  • @
    @dibodiboo19047 years ago Huyu rais wa misiri abdul fatah cc ni dikteta amependuwa srekali ya mohamed mursi ilio chaguliwa kwa halali na wananchi wa misiri na ailifanikiwa kumpenduwa . ...Expand