Duration 5:16

Wagonjwa zaidi ya laki 7 watibiwa vituo vipya vya afya

126 watched
0
1
Published 4 Aug 2020

#Afya #Jafo #Dodoma Zaidi ya wagonjwa laki 7.5 wamepatiwa matibabu katika vituo vipya vya afya vilivyojengwa kote nchini ambavyo ni Zaidi ya 400 katika kipindi cha miaka 5 ya mhula wa kwanza wa serikali ya awamu ya tano ambapo kati yao wajawazito Zaidi ya laki 2 wamejifungulia katika vituo hivyo huku waliojifungua kwa kufanyiwa upasuaji wakiwa Zaidi ya 18,000.

Category

Show more

Comments - 0