Duration 2:58

Mtoto mdogo mwenye kipaji cha uimbaji akiimba Mlima wa Moto Mikocheni B

451 750 watched
0
1 K
Published 21 Jul 2017

Mtoto mdogo mwenye kipaji cha uimbaji akiimba ndani ya kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" katika kongamano la Shiloh Desemba 9.2016

Category

Show more

Comments - 89
  • @
    @bubashabisengo98637 years ago She has an amazing voice. God stay wiss her forever. 2
  • @
    @user-iz4tj2gi8k6 years ago Amen mungu akujaze na uzidi kumtumikia i love you in the name of jesus. 1
  • @
    @jacklinemkambula41157 years ago Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokua mzee, bless u. 1
  • @
    @dianalyanga33107 years ago Hongera katoto. Umo lakini hauvumi. Sasa umeshaanza kuvumma kwa jina la bwana. Barikiwa sana mdogo wangu. 1
  • @
    @mariasalvatory85597 years ago Kweil mtoto anakipaji kama mtu mzima hongere sana na mungu akubariki. 1
  • @
    @matayolepwaan32517 years ago Safi sana mdgo wangu mungu akubariki kwa kipaji chako katoto wangu. 1
  • @
    @magynzioka11226 years ago Alio nitendea bwana akuna wakunibariki akinitendea yesu nani aseme apana sirudi nyuma shitishwi na edelea nyuma. Mbele baraka yangu imo tu# uyu mungu jamani mboba dani yake kuna baraka za ajabu sote tumwabudu tu baraka zake zimo hakika mtoto mungu azidi kukupa ekima na marifa ili watoto wengine wainge mfano wako sifa na sukurani zirudi kwa mungu hongera kwa baba yako mlezi wa kiroho na mama yako na baba yako hakika umebarikiwa hata uzehe wako mungu akukumbuke umeniacha na bubujika machozi ya furaha upenda kuona daima watoto wanavio mtambua baba wa mbingu mungu nawe daima .. ...Expand 1
  • @
    @gracenziavake29574 years ago Kabisa tume bariwa sana mungu awa bariki.
  • @
    @leahally78317 years ago Wow mungu akujalie ufike mbali sauti unayo hongera sana. 3
  • @
    @jeremiahmwakilima74757 years ago Wazazi wanamharibu mtoto kumvalisha visivyo mpeneza mungu. 1
  • @
    @doricaswanjiru62926 years ago Wow sauti nzuri xana najua kweli baraka yangu iko barikiwa mutoto.
  • @
    @janesarah67117 years ago Amazing mungu akujalie hekima namaarifa. 6
  • @
    @trecyniceeliya62667 years ago Xaut kma jenifer mgend jomoni god bless u katoto kazur. 1
  • @
    @marykasiva57096 years ago Twakupenda sana, watu wa thka mungu akupee hekima.
  • @
    @denagaston59737 years ago God bless and give u long life i tha song was so good. 1
  • @
    @dorkasisamweli83867 years ago Mungu mbariki mtoto huyu kama upendavyo. 3
  • @
    @hylinemoraa45596 years ago Gid bless you young gal so amazing voice.
  • @
    @ignaskalindo43697 years ago Jamani wazazi wenye uwezo wa kuinua vipaji vya watoto msisite kuwasaidia hawa watoto wanahuduma kubwa sana ila inadumaxwa na wazazi pngine kwa kikosa uwezo . ...Expand 3
  • @
    @lilianmavika27577 years ago Katoto kanasauti mpka raha mungu aendelee kumtunza. 13
  • @
    @beatricekyando38157 years ago Ipo raha sana mtoto anasifu mpaka unapenda.
  • @
    @theonlyonebeautiful37267 years ago Anaimba mpaka damu inakimbia ila wamekavalisha snow boots. 1