Duration 49:54

JAMBO LA KUSIKITISHA EV. PASCAL CASSIAN AMEDANGANYA WAKRISTO

3 905 watched
0
44
Published 19 Jul 2023

Ni baada ya kutoa video yake ambayo aliimba akiwa amevalia Kofia, na kutoa sababu kwamba alitaka kufundisha watu ii wamuhelewe, sababu ambayo pia hata kimaandiko haikosawa na video iyo inaonekana bado kuendelea kupotosha wengi. Sikiliza mwanzo hadi mwisho ili uelewe vizuri.

Category

Show more

Comments - 106