Kwa kawaida play store inakuwa imejiseti Auto-Update ili kuhakikisha unatumia matoleo mapya ya apps punde yanapokuwa yametolewa. Lakini wakati mwingine kitendo hiki kinaweza kuwa tatizo pale unapokuwa na bando lenye MB chache na kuna kitu muhimu unataka kufanya katika mtandao.
Kwahiyo njia hii itakusaidia kuepukana na tatizo kama hilo la kumaliziwa MB zako kwa kitu ambacho hauna shida nacho kwa wakati huo.
__________________________________________
Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android)
/watch/gZg_8rwhV5ph_
Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android)
/watch/MoamVZbOTufOm
Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS)
/watch/IX9f-sCEwrlEf
Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android)
/watch/oaezN_mbuQubz
Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android)
/watch/cvsznFaipzwiz
Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android)
/watch/UVt8hIhOwKhO8
Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android
/watch/0_k68dy2hs026
Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android)
/watch/8qH2GKoO6uIO2
Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android)
/watch/Q9PY2_bgcOAgY
Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android)
/watch/0zaE_JkDjrzDE
__________________________________________
Usisahau Ku-Subscribe na Ku-Like Ili kupata video nzuri Zaidi!!!!
Jiunge Nasi Kupitia ;-
Instagram. https://www.instagram.com/tz_eleven/
Facebook. https://www.facebook.com/tz.eleven/
Youtube. /c/TzEleven
#tzeleven