Duration 9:25

SCHOOL PURPOSE:UGUMU WA KUJIBU MASWALI KWA WANAFUNZI WA LYCÉE DE LA PAIX ULIVYOENDELEA

1 377 watched
0
77
Published 7 Jul 2021

School purpose ni kipindi cha maswali na majibu kwa waziri chenye lengo la kuwaamsha ili wasome kwa bidii (kujifunza na kufanya utafiti wa mambo mbalimbali) Kipindi hiki ni endelevu na hao ni wanafunzi wa shule ya secondary Lycée de la paix ndani ya kambi ya wakimbizi wilayani kasulu mkoani Kigoma Tanzania.

Category

Show more

Comments - 8